Chama kinawatangazia Wanachama wote kuwa, kinatarajia kuanza kufanya Mikutano ya Dondoo za Mkutano Mkuu wa mwaka 2024 katika matawi yake nchi nzima kuanzia tarehe 07.09.2024 kutekeleza dhana ya ushirikishwaji wa wanachama katika mipango ya…
TANGAZO LA UCHAGUZI WA VIONGOZI WA BODI NA KAMATI YA USIMAMIZI
Kumb Na: TANESCO SACCOS/UCHAGUZI/2023 Tar: 02 Nov 2023 WAWAKILISHI, TANESCO SACCOS YAH : UCHAGUZI WA VIONGOZI WA BODI NA KAMATI YA USIMAMIZI Chama cha Ushirika wa Akiba na Mikopo TANESCO kinapenda kuwatangazia wawakilishi wote kuanza…
TANGAZO LA MKUTANO MKUU WA MWAKA 2023
Kumb: TANESCO SACCOS / MKUTANO MKUU/2023 Tarehe: 01/11/2023 Wawakilishi wote, Mkutano Mkuu wa Mwaka, TANESCO SACCOS LTD. YAH: TANGAZO LA MKUTANO MKUU WA MWAKA 2023 Bodi ya Chama inawatangazia wanachama wote wawakilishi wa Mkutano Mkuu…
TANGAZO LA MKUTANO MKUU WA MWAKA 2022
Kumb : TANESCO SACCOS / MKUTANO MKUU/2022 Tarehe 01/10/2022 Wawakilishi wote, Mkutano Mkuu wa Mwaka, TANESCO SACCOS LTD. YAH: TANGAZO LA MKUTANO MKUU WA MWAKA 2022 Bodi ya Chama inawatangazia wanachama wote wawakilishi wa…