TANGAZO LA MKUTANO MKUU WA MWAKA 2024

  Bodi ya Chama inawatangazia wanachama wote wawakilishi wa Mkutano Mkuu wa Chama, kwamba Mkutano Mkuu wa Mwaka 2024 utafanyika jijini Dodoma tarehe 09 Novemba 2024 katika ukumbi wa Mikutano wa hoteli ya Morena, uliopo…