Chama cha Ushirika wa Akiba na Mikopo TANESCO

TANESCO SACCOS.

Miaka 54 ya Utoaji Huduma za Mikopo

Chama kilianza mwaka 1968 na hadi mwaka 2004 kilikua na wanachama 315 na jumla ya akiba za wanachama zipatazo Tsh. milioni 533. Mwaka 2004 yalifanyika mageuzi makubwa ya uongozi ili kukiboresha chama, na mafanikio yake yalikua makubwa kwani chama kiliweza kuongeza idadi ya wanachama hadi kufikia wanachama 2906 na akiba kufikia takribani bilioni 6 Julai 2009. Mapato ya kila mwezi yameongezeka kutoka millioni 25 mwaka 2004 na hadi kufikia milioni 630, Mei 2010.

TUZO

TANESCO SACCOS imefanikiwa kupata tuzo mbali mbali.

2015

CRDB

CRDB

Mshindi wa KWANZA kitaifa kwa Ubora katika tathmini iliyofanywa na benki ya CRDB

2016

ICUD

ICUD

Mshindi wa KWANZA Kitaifa kwa Ubora wa Saccos katika Maadhimisho ya Siku ya SACCOS duniani(ICUD), Dar es Salaam.

2017

SUD

SUD

Mshindi wa KWANZA , chama bora cha ushirika kwa mkoa wa Dar es salaam katika Maadhimisho ya siku ya ushirika Duniani (SUD), Dodoma

2017

ICUD

ICUD

Mshindi wa KWANZA Kitaifa kwa Ubora wa Saccos za sehemu ya kazi (Employee Based) katika maadhimisho ya siku ya SACCOS duniani (ICUD), Dodoma

2017

ICUD

ICUD

Mshindi wa KWANZA kwa Ubora kwa SACCOS za mkoa wa Dar es Salaam katika Maadhimisho ya siku ya SACCOS Duniani (ICUD), Dodoma

2020

ICUD

ICUD

Kama Chama Bora cha Waajiriwa Mjini

2021

ICUD

ICUD

Kama chama bora cha waajiriwa daraja B

2021

ICUD

ICUD

Mshindi wa Banda Bora la Maonyesho

54+

Miaka ya Utoaji Huduma

7000+

Wanachama

10

Tuzo

15

Wadau Wetu