Madhumuni ya Chama

Madhumuni ya kuinua na kustawisha hali ya uchumi na maisha yao kwa kuanzisha na kumiliki TANESCO SACCOS kidemokrasia, kuchangia mtaji na kukubali kuyakabili matatizo na kupata manufaa kwa kufuata sheria, kanuni na taratibu za Vyama vya Ushirika.

Ili kufikia lengo la kukidhi mahitaji ya kiuchumi na kijamii ya Wanachama.