• Mwanachama anaweza kuomba mkopo wa bima ya gari kulingana na thamani ya gari yake.
  • Bima hii inaweza kuwa bima kubwa (comprehensive) au bima ndogo (third party)
  • Riba kwa mikopo ya Bima ya gari itakuwa asilimia 2 kwa mwezi kwa baki ya mkopo.
  • Marejesho ya mkopo huu yatafanyika ndani ya muda wa miezi kumi na mbili (12)
  • Chama kinashirikiana na Kampuni ya Jubilee Insurance (Tanzania).
  • Mwanachama anaweza kukata bima ya gari ya ndugu au rafiki yake