- Mwanachama ana uhuru wa kukopa kiwango huru kinachokatika.
- Riba ya mkopo huu itakuwa asilimia 1.0 kwa mwezi kwa baki ya mkopo
- Kiwango cha juu cha mkopo kitakuwa Tshs. milioni thelathini
- Muda wa juu wa marejesho ya mkopo ni miezi sitini (60)
- Mwanachama ataruhusiwa kukopa tena iwapo atakuwa amemaliza mkopo wa awali, au amerejesha nusu (1/2) ya deni la awali
- Mkopo huu utaweza kununua madeni ya taasisi nyingine za fedha
