Mkopo wa Dharura

  1. Mkopo huu utatolewa kwa wanachama kwa kiwango cha kuanzia Tshs.300,000.00 hadi 3,000,000.00 na itategemea zaidi uwezo wa mshahara wa mwanachama na akiba alizonazo katika Chama
  2. Mkopo wa dharura hautatolewa kwa mwanachama ambae atakuwa bado hajamaliza mkopo wa awali (Dharura).
  3. Makato kwa mkopo wa dharura yatafanyika kwa kipindi cha miezi mitatu(3) hadi miezi kumi nambili (12). Kiwango cha akiba alizonazo kitazingatiwa
  4. Riba kwa mikopo ya dharura itakuwa asilimia 2% kwa mwezi kwabaki ya mkopo.