• Mwanachama anaweza kukopa mara mbili (2) ya amana ya Likizo.
  • Riba ya mkopo huu itakuwa asilimia 8 kwa mwaka (flat rate).
  • Marejesho ya mkopo huu yatafanyika ndani ya muda wa miezi kumi na mbili (12)
  • Marejesho ya Mkopo huu yatafanyika kupitia Akaunti yake ya FOSA.