Mkopo wa Matangulizi ya Mishahara

MKOPO WA PAPO KWA PAPO
  1. Utatolewa kwa kiwango cha kuanzia Tshs50, 000 hadi Tshs.150,000.00 kuanzia tarehe 10 hadi 20 ya kila mwezi unaofuata.
  2. Makato ya marejesho ya mkopo huu yatafanyika mwezi unaofuata. kwa mkupuo mmoja.
  3. Riba ya mkopo wa papo kwa hapo ni asilimia 10%. tu.
  4. Mwanachama ambaye hatarejesha mkopo huu kwa wakati, hatastahili kupewa mkopo mwingine mpaka atakapokuwa amerejesha mkopo wa awali.