• Utatolewa kwa kiwango cha kuanzia Tshs. 50,000.00 hadi Tshs. 300,000.00 kuanzia tarehe 10 hadi 20 ya kila mwezi.
  • Makato ya marejesho ya mkopo huu yatafanyika mwezi unaofuata kwa mkupuo mmoja.
  • Riba ya mkopo wa papo kwa hapo ni asilimia 08