- Mwanachama anaweza kukopa kiwango kisichozidi Tshs. 10,000,000
- Riba ya mkopo huu itakuwa asilimia 1.375 kwa mwezi kiasi cha mkopo
- Muda wa juu wa marejesho ya mkopo ni miezi ishirini na nne (24)
- Marejesho yataanza kufanyika miezi mitatu baada ya mkopo kutolewa (grace period)
- Mwanachama atatakiwa kuwasilisha: Mpango wa biashara (lazima), leseni ya biashara, usajili wa biashara