Mwanachama anaweza ku-top up mkopo wa gari baada ya kulipa nusu ya thamani ya mkopo wa awali kwa kuagiza gari jingine.
- Mwanachama anaweza kukopa chombo cha usafiri kupitia mawakala wa Be Forward au SBT Tanzania.
- Kiwango cha mkopo kisichozidi shilingi milioni hamsini (Tshs. 50,000,000).
- Riba ya mkopo huu itakuwa asilimia 9.6 kwa mwaka (reducing balance).
- Marejesho ya mkopo huu yatafanyika ndani ya miezi arobaini na nane (48).
- Marejesho ya Mkopo huu yatafanyika kupitia Akaunti yake ya FOSA.