- Mwanachama anaweza kukopa kifaa cha nyumbani au Kieletroniki kupitia Wakala/Watoa Huduma walioingia Mkataba na Chama, Kiwango cha juu cha Mkopo huu Hakitazidi shilingi Milioni tano (5,000,000).
- Riba ya Mkopo huu itakua asilimia 1.4 kwa mwezi (Reducing Balance).
- Marejehso ya Mkopo huu yatafanyika ndani ya Miezi kumi na mbili (12).
- Marejesho ya Mkopo huu yatafanyika Kupitia Akaunti yake ya FOSA.