- Mwanachama anaweza kukopa mpaka mara mbili (2) ya kiasi cha hisa za hiyari.
- Riba ya mkopo huu itakuwa asilimia 8 kwa mwaka (flat rate).
- Mwanachama ataruhusiwa kukopa tena iwapo atakuwa amemaliza mkopo wa awali.
- Marejesho ya mkopo huu yatafanyika ndani ya miezi kumi na mbili (12).
- Marejesho ya Mkopo huu yatafanyika kupitia Akaunti yake ya FOSA.