Sifa za Muombaji

  1. Mfanyakazi atakayejiunga na chama hiki awe ni wa kuaminika na kufahamika na Wanachama wenzake.
  2. Awe mwenye akili timamu. Awe mwenye uwezo wa kulipa kiingilio na kununua hisa na kuchangia akiba zake kila mwezi.