MKUTANO MKUU WA MWAKA 2025

Bodi ya Chama inawatangazia wanachama wote wawakilishi wa Mkutano Mkuu wa Chama, kwamba Mkutano Mkuu wa Mwaka 2025 utafanyika mjini Morogoro tarehe 04 Oktoba 2025 katika ukumbi wa Mikutano wa hoteli ya Cate, uliopo mkoa…