• Mkopo huu utatolewa kwa Mwanachama ambaye ameajiriwa ndani ya kipindi cha miezi 12
  • Riba ya mkopo huu itakuwa asilimia 1.3 kwa mwezi kwa baki ya mkopo
  • Mwanachama anaweza kukopa kiwango ambacho hakizidi mara tano (5) ya mshahara halisi wa mwezi.
  • Muda wa juu wa marejesho ya mkopo ni miezi ishirini na nne (24) kwa wafanyakazi wa kudumu na miezi kumi na mbili (12) kwa wafanyakazi wa mkataba wa muda maalum