- Mwanachama anaweza kukopa Mara mbili (2) ya Amana ya Matibabu.
- Riba ya mkopo huu ni asilimia Nane (8) kwa mwaka (Flat rate).
- Marejesho ya mkopo huu yatafanyika ndani ya Muda wa miezi kumi na mbili (12).
- Marejesho ya mkopo huu yatafanyika kupitia akaunti yake ya FOSA.