- Mwanachama ana uhuru wa kukopa kiwango ambacho hakizidi mara nne (4) ya akiba.
- Mwanachama ataruhusiwa kukopa tena iwapo atakuwa amemaliza mkopo wa awali, au
amerejesha moja ya tatu (1/3) la deni la awali. - Kiwango cha juu cha mkopo kitategemea uwezo wa mshahara wa mwanachama husika.
- Riba kwa mkopo wa maendeleo ni asilimia 1.0 kwa mwezi kwa baki ya mkopo
- Muda wa juu wa marejesho ya mkopo ni miezi sitini (60)