TANGANZO LA MIKUTANO YA MREJESHO NA TAARIFA KWA WANACHAMA MATAWINI
Chama kinawatangazia Wanachama wote kuwa, kinatarajia kuanza kufanya Mikutano ya Mrejesho wa Mkutano Mkuu wa mwaka 2025 katika matawi yake nchi nzima kuanzia tarehe 21.02.2026 ili kuwajulisha juu ya maamuzi yaliyofikiwa na kuwapatia taarifa mbalimbali…