Chama cha Ushirika wa Akiba na Mikopo TANESCO

TANESCO SACCOS.

Miaka 54 ya Utoaji Huduma za Mikopo

Chama kilianza mwaka 1968 na hadi mwaka 2004 kilikua na wanachama 315 na jumla ya akiba za wanachama zipatazo Tsh. milioni 533. Mwaka 2004 yalifanyika mageuzi makubwa ya uongozi ili kukiboresha chama, na mafanikio yake yalikua makubwa kwani chama kiliweza kuongeza idadi ya wanachama hadi kufikia wanachama 2906 na akiba kufikia takribani bilioni 6 Julai 2009. Mapato ya kila mwezi yameongezeka kutoka millioni 25 mwaka 2004 na hadi kufikia milioni 630, Mei 2010.

TUZO

TANESCO SACCOS imefanikiwa kupata tuzo mbali mbali.

2015

2017

2017

2019

2020

2020

2021

2021

2024

2024

2025

2015

54+

Miaka ya Utoaji Huduma

7000+

Wanachama

10

Tuzo

15

Wadau Wetu