- Kiwango cha mkopo wa Elimu hakitazidi mara mbili (2) ya mshahara wa mwanachama.
- Riba ya mkopo wa Elimu ni asilimia tano (5% flat rate) ya kiwango cha mkopo.
- Makato kwa mkopo wa Elimu yatafanyika kwa kipindi kisichozidi miezi kumi na mbili.


UBUNGO BUSINESS PARK
MOROGORO ROAD OPPOSITE TO SHEKILANGO ROAD
P.O.BOX 54231, Dar es Salaam.