Mwanachama anaweza ku-top up mkopo wa gari baada ya kulipa nusu ya thamani ya mkopo wa awali kwa kuagiza gari jingine.

  • Mwanachama anaweza kukopa chombo cha usafiri kupitia mawakala wa Be Forward au SBT Tanzania.
  • Kiwango cha mkopo kisichozidi shilingi milioni hamsini (Tshs. 50,000,000).
  • Riba ya mkopo huu itakuwa asilimia 1.15 kwa mwezi (reducing balance).
  • Marejesho ya mkopo huu yatafanyika ndani ya miezi arobaini na nane (48).
  • Marejesho ya Mkopo huu yatafanyika kupitia Akaunti yake ya FOSA.