TANGAZO LA MKUTANO MKUU WA MWAKA 2023

Kumb: TANESCO SACCOS / MKUTANO MKUU/2023  Tarehe: 01/11/2023 Wawakilishi wote, Mkutano Mkuu wa Mwaka, TANESCO SACCOS LTD. YAH: TANGAZO LA MKUTANO MKUU WA MWAKA 2023 Bodi ya Chama inawatangazia wanachama wote wawakilishi wa Mkutano Mkuu…