TANGANZO LA MIKUTANO YA MREJESHO NA TAARIFA KWA WANACHAMA MATAWINI

Chama kinawatangazia Wanachama wote kuwa, kinatarajia kuanza kufanya Mikutano ya Mrejesho wa Mkutano Mkuu wa mwaka 2025 katika matawi yake nchi nzima kuanzia tarehe 21.02.2026 ili kuwajulisha juu ya maamuzi yaliyofikiwa na kuwapatia taarifa mbalimbali za maendeleo ya Chama. Agenda za Mkutano:

  1. Taarifa : Dondoo na Majibu
  2. Hesabu za Chama kuishia Disemba 2024
  3. Maazimio ya Mkutano Mkuu wa mwaka 2025
  4. Ujazaji wa fomu za ununuzi wa Hisa za Jengo
  5. Uchaguzi mdogo (Kwa nafasi zilizo wazi – Matawini)

NB:

  1. Ofisa wa Chama atakuwepo siku moja kabla ya siku ya Mkutano kwa ajili ya kuendesha clinic ya huduma za Chama, na kutatua changamoto za
  2. Ukumbi wa semina lazima uwe na mazingira ya kufanya wasilisho (Presentation- Softcopy), hatutakuwa na vipeperushi. Pia zingatia uwepo wa Kangavuke (Generator).
  3. Wanachama mtatakiwa kuwa na kitambulisho halali cha kazi wakati wa
  4. Chama kinawakaribisha wafanyakazi wote wa Shirika wasio wanachama kuja na kupata elimu kuhusu bidhaa za Chama na kuwasajiliwa.
  5. Rejesta ya maudhurio itafungwa dakika 45 baada ya Mkutano

Download

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *