TANGAZO LA MKUTANO MKUU WA MWAKA 2024

 

Bodi ya Chama inawatangazia wanachama wote wawakilishi wa Mkutano Mkuu wa Chama, kwamba Mkutano Mkuu wa Mwaka 2024 utafanyika jijini Dodoma tarehe 09 Novemba 2024 katika ukumbi wa Mikutano wa hoteli ya Morena, uliopo jijini Dodoma kuanzia saa 02.00 asubuhi.

 

AJENDA:

  1. Kufungua Mkutano
  2. Muhtasari wa Mkutano Mkuu wa mwaka 2023
  3. Yatokanayo na Mkutano Mkuu wa mwaka 2023
  4. Taarifa ya Bodi ya Chama
  5. Taarifa ya Hesabu zilizokaguliwa za mwaka 2023
  6. Taarifa ya Kamati ya Usimamizi
  7. Mpango kazi na Bajeti ya mwaka 2025
  8. Kuidhinisha Wakaguzi wa hesabu za mwaka 2024
  9. Mengineyo
  10. Kufunga Mkutano

 

MAMBO MUHIMU YA KUZINGATIA

  1. Mengineyo yatumwe Makao Makuu ya Chama kabla ya tarehe 01/11/2024
  2. Wawakilishi wote watajisajili katika ofisi za Ukumbi wa Hotel ya Morena siku moja kabla ya Mkutano (Tarehe 08.11.2024)
  3. Wawakilishi wote wanatakiwa kuja na vitambulisho vyao vya
  4. Nakala chepe ya kabrasha la Mkutano Mkuu litatumwa Matawini kwa njia ya mtandao tarehe 11.2024. Nakala halisi na link ya taarifa mbalimbali za Mkutano itatolewa katika viunga vya Ukumbi wa hoteli ya Morena ya Mkutano.

 

 

Download

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *